Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi amesema katika utafiti uliofanyika katika magereza ya Kusini mwa Tanzania, ilibaini kuna baadhi ya watuhumiwa makosa yao yanadhaminika lakini wanafurahia zaidi kuendelea kubaki mahabusu.
–
Aidha Dkt Eliezer feleshi aliongeza kwa kusema “uamuzi huo ni kutokana na hali ya kiuchumi inayopelekea waone mahabusu ni nafuu zaidi kuliko uraiani”.– Alisema Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt Eliezer Feleshi
Mwanasheria Mkuu wa Serikali afunguka Ikulu DSM, ‘Kutokana na hali ya Uchumi wanaona mahabusu ni nafuu zaidi’
Leave a comment
Leave a comment