Leo June 18, 2021 Kufuatia keski ilio kuwa inawakabili Masheikh kutokea Zanzibar kuachiwa kutokea gerezani maarufu kwa jina Uamsho.
AyoTV na millardayo.com imekusogezea Mwanasheria wa Uamsho ambae alikuwa akisimamia kesi, Abdallah Juma ambae ni Wakili wa Mahakama Kuu Zanzibar anatufahamisha baadhi ya vipengele vya kisheria na kesi nzima ilivyo kuwa.