Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameagiza kukamatwa na kuhojiwa kwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Tutuo kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge Longa Magasha baada ya kudaiwa kufanya ubadhilifu wa Milioni mbili zilizotakiwa kutumika kukarabati kisima cha maji katika kituo hicho cha afya.