Mwanzo mwisho basi la Sauli na Lori yalivyogongana Kibaha (Video+)
Share
1 Min Read
SHARE
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini SACP Wilbroad Mutafungwa amemfungia leseni Dereva wa Basi la kampuni ya Sauli kwa muda wa miezi sita kutokana na kitendo chake cha kuyapita magari mengine bila kuchukua tahadhari (Wrong Overtake) asubuhi ya Agosti 23, 2021 akielekea Tunduma kutokea Dar na kusababisha ajali na Watu wanne kujeruhiwa.
WAFANYAKAZI WATANO WA TRA WAFARIKI KWA AJALI WAKILIFUKUZIA GARI LILILODHANIWA KUWA NA MAGENDO