Kulikuwa na taarifa ambazo ziliripotiwa na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi zikidai kuwa makambpuni ya kimataifa yasipongua Sita yana mpango wa kupiunguza kiwango cha uwekezaji nchini Tanzania baada ya Rasi John Magufuli kutangaza mabadiliko ikiwamo kuongeza kodi kwa makampuni kutoka nje.
millardayo.com na AyoTV imempata Waziri wa viwanda na uwekezaj, Charles Mwijage kuzungumzia hilo……..
>>>’Nimezisoma kwenye gazeti, tatizo hawakusema wale wawekezaji ni wa kina nani, kitu kinachonipa faraja wanasema mmoja ni kampuni ya mawasiliano, kama kweli kampuni ya mawasiliano inakimbia soko la Tanzania kwa sababu katika Afrika mojawapo ya soko zuri la simu ni Tanzania, sasa mtu kama anaacha soko zuri kama hili namshangaa’
>>>’Uwekezaji ni biashara, na biashara ina mfumo wake ambao ni wa kuingia na kutoka na katika mfumo ule kuna ushindani labda aliyeondoka labda ushindani umekuwa mkali’;-Waziri mwijage
VIDEO: Ufafanuzi wa Waziri Mwijage kuhusu kufungwa kiwanda cha Dangote na makaa ya mawe, Bonyeza play hapa chini kutazama