Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage leo June 1, 2017 imewasilisha Bungeni Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 ambapo Wizara hiyo ikiomba kutengewa Bajeti ya Tsh. 988.3b.
VIDEO: Aliyoyafanya Mzee Ndesamburo enzi za uhai wake akiwa CHADEMA