Waziri Mkuu Majaliwa, ameagiza Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara, John Mvanga ambae ndiye alibaini kuwepo na ubadhilifu wa fedha zaidi ya Tsh 1.3 Bilioni na baadae kusimamishwa kazi, arejeshwe kazini mara moja na asibugudhiwe.
HITIMISHO LA MAFUNZO YA JKT’ ‘WENGINE WALITOROKA”DC ATOA NENO