Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amemwambia Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo kuwa Mkoa wake hautamvumilia Kiongozi yoyote atakayetumia fedha za Serikali kwa ajili ya miradi ya maendeleo kujinufaisha.
“Kuna kuna mtu amekuja hapa kujitajirisha awe na hakika Mkoa huu sio mahali pake atupishe aondoke kuna watu tumewasimamisha kazi na wengine wamezimia sisi tuasonga mbele” RC Mwanri