Mohamed Seleman ni Mzee wa miaka 96, amezaliwa kwenye familia ya Watoto 12 ila ndugu zake wamefariki na kwa sasa amebakia mwenyewe hana sehemu ya kuishi baada ya kuacha kazi miaka 20 iliyopita Hospital ya Bugando Mwanza alipokua mlinzi.
RAIS MAGUFULI AMUAMBIA MSIGWA “DADA YAKO ALIKUWA MNYENYEKEVU”