Leo July 6, 2019 Mtandao wa Malawi Daily Mail umeweka picha katika tovuti yake zinaonesha askari wa jeshi la ulinzi nchini humo MDF wakimpiga Askari aliyekuwa akitimua waandamanaji wa upinzani wanaopinga matokeo ya u-Rais. Imeelezwa pia Jeshi linawaunga mkono waandamaji.