Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima ameviagiza Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoani Kigoma, kuwa na ushirikiano katika utendaji kazi hatua itakayo ondoa vikwazo na migongano ya kazi hasa ulinzi wa umma na malizao.
Hayo ameyasema katika kikao kazi cha kubaini changamoto za Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji pamoja na kuagiza Majeshi hayo kuwa na ushirikiano na kwamba Jeshi la Magereza wanatakiwa kuwatumia vyema wafungwa na mahabusu kufanya kazi za uzalishaji.
WAKILI AZUNGUMZIA SHEIKH PONDA KUSOMEWA HUKUMU UPYA