Rais Magufuli awasili Mkoani Songwe ambako leo tarehe October 4, 2019 anaanza ziara ya kikazi ya siku 9 katika Mikoa mitatu ya Songwe, Rukwa na Katavi.
Katika ziara hii Rais ameongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli na Mawaziri, Airport Songwe amepokelewa na RC Mbeya Albert Chalamila.
LIVE: RAIS MAGUFULI “OLE WAKO ULE HELA ZANGU NA MUMEO”
https://youtu.be/DftdcF7R1IA