Afisa Uhusiano wa Manispaa ya Ilala Tabu Shaibu amefanya ziara katika miradi mikubwa inayoendelea kufanyiwa kazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jijini Dar es Salaam ikiwemo katika Machinjio mapya ya Vingunguti.