Hii ndiyo meli ya MV Liemba yenye umri wa miaka 105 ilijengwa kwa mara ya kwanza nchini Ujerumani mwaka 1913 ikiwa na jina la “Graf von Goetzen” kwenye kiwanda cha meli cha Meyer huko Papenburg ikikusudiwa kutumika katika harakati za kivita baina ya Taifa la Ujerumani na mataifa mengine yaliyokuwa yakipigana na Taifa hilo.
LIVE MAGAZETI: Kimenuka, Nchi imeingia kwenye Vita kubwa, Jinamizi muda wa Rais laibuka