Familia moja huko Mkoa wa Geita imefikia maamuzi ya kumkataa mtoto wao kwa kumtenga asijihusishe na familia yao kwa kosa la kujihusisha na wizi.
Baba Mzazi wa kijana huyo anasema amefikia maamuzi hayo ikiwa kama onyo kwa mwanae licha ya huyo kijana mwenye umri wa miaka 28 kwenda kituo cha Polisi kujisalimisha na kukiri kuwa ameacha wizi.