Mzee Ndelekwa Ayo Mkazi wa Kata ya Kikwe wilayani Arumeru Mkoani Arusha ambaye alijichimbia kaburi lake nyuma ya nyumba anayoishi ametimiza miaka miwil tangu achimbe kaburi hilo baada yakupata shilingi millioni 400 kutokana na shamba aliloliuza kupisha mradi wa barabara ya Afrika Mashariki Arusha By Pass.
Ayo Tv imefika nyumbani kwake nakuzungumza naye huku akisema kwa sasa ana miaka 103 lakini anasumbuliwa na maumivu kutokana nakufanya kazi sana hasa za kilimo akiwa kijana.