Ni Mwananchi wa Wilaya ya Muleba akieleza kero yake kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila ambao umefanyika Wilyani Muleba kwa ajili ya kuongea na wananchi sambamba na kusikiliza kero zao.