Mzee Martin Mhado ameweza kubuni vitu vingi vya kiasili ikiwemo jokofu (friji) la miti ambalo linaweza kuhifadhi vitu mbalimbali kama nyanya,mbogamboga kwa miezi mitatu bila kuharibika.
Mzee Mhando anasema amefanya kazi hizo za ubunifu kwa miaka 35 na ameweza kupata kipato cha kutosha ikiwemo kujenga nyumba kusomesha watoto pamoja na mambo mengine.