Mzee Godfrey Mnyaga leo February 20, 2020 akizungumza mbele ya Rais Magufuli ametoa malalamiko yake yaliyosabisha Yeye kufunga Chuo chake na kupata hasara ya Milioni 24.
“Kwanza nilifunga Chuo, nilikuwa na mkopo Benki, imenitia msukosuko mpaka leo nimefilisika, naishi maisha si yangu, wale wahusika bado wanaendelea na ajira zao, taarifa ya TAKUKURU ilisema itawachukulia hatua lakini bado” Godfrey Mnyaga