Moja ya stori itakayokuacha hoi leo July 20, 2020 ni ya Mgombea Ubunge katika Jimbo la Moshi Mjini Omary Mwariko ameahidi kushawishi utengenezaji wa noti ya shilingi elfu hamsini ya Rais Magufuli kama zawadi kwa mambo makubwa aliyofanya.
Mbali na hilo Mwariko amesema atashauri kubadilishwa kwa jina la Mji wa Moshi na kuweka pazia Mlima Kilimanjaro, huku akipendekeza Wizara inayohusika na masuala ya sanaa kuruhusu kuruka na ungo.