Kufuatia utabiri wa Mamlaka ya hali ya hewa nchini kwamba kuna uwezekano wa kuwepo kwa kimbunga na mafuriko katika maeneo ya pwani ya mikoa ya Mtwara na Lindi kinachotajwa kuanzia Tarehe 24-26 April, 2019, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu ) Jenista Mhagama amelieleza Bunge kuhusu zinazopaswa kuchukuliwa katika kipindi hiki.
AGIZO LA KANGI LUGOLA KWA WAMILIKO WOTE WA SILAHA NCHINI