Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuhusisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Dkt. Festo Dugange kuwa amejiuzulu wadhifa wake ili kupisha uchunguzi.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.