Tulizipata headlines za wabunge wa upinzani kususia vikao vya bunge kwa madai ya kutokuwa na imani na naibu spika Dk. Tulia Ackson, lakini hatujajua upande wa pili ni athari gani zimejitokeza kwa kutoshiriki kwao, AYO TV imefanya Exclusive na Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye ambaye katusogeza athari hizo.
Waziri Nape amesema..>>>’Demokrasia ni ushiriki na wanapotokea watu hawashiriki maana ni kuwa mawazo yao yanakosekana, wangeshiriki pengine wangekuja na mawazo mbadala. Hii nchi ni ya kwetu wote hivyo ni kuwanyima wananchi fursa ya kufanya maamuzi‘
‘Wanataka kuonyesha sura ya Tanzania kuwa sio nchi ya demokrasia, na katika mazingira hayo inawezekana watu wakapata mashaka ya kuja kuwekeza kwasababu‘ –Waziri Nape Nnauye
ISIKUPITE HII YA WAZIRI MWIJAGE AKIWAJIBU WANAOSEMA KAPEWA BAJETI NDOGO
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE