August 4, 2018 Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla alipata ajali ya gari akitokea Arusha kabla ya kufika katika eneo la Magugu na hali yake ilikuwa mbaya na baadae kuchukuliwa na Helicopter na kuamishiwa hospitali ya Mount Meru na baadae Muhimbili.
Katika ajali hiyo ilipoteza maisha ya muanndishi wa habari na mpiga picha wa waziri Kingwalla aliyekuwa anajulikana kwa jina la Hamza Temba, usiku wa August 7 waziri Kigwangalla ameonesha dalili za kuwa anaendelea vizuri baada ya kutumia simu yake kupost instagram ujumbe unaoeleza.
“Sijui hata Kwa nini usiku huu nimegusa simu? 😭😭😭 Only to look at my phone and come across chats and pics za ziara yetu ya #PoriKwaPori and rise to the reality that mdogo wangu, bwashee wangu, this hard working, smart, handsome and very hopeful young man sintomuona tena na kumtania. What more can I say?! Alhamdulillah. Qaalu inna lillah wainna ilayhir rajiuun. 🙏🏿 #AllahAkbar“
Rais Magufuli alivyoshika Drip akimshusha Kingwangalla kwenye ndege