Mwanasayansi maarufu na mkongwe nchini Australia, David Goodall ambaye ana umri wa miaka 104, jana May 2, 2018 amewaaga ndugu, jamaa na rafiki zake akitegemea kusafiri kwenda ‘kumalizia maisha yake’.
Goodall anaelekea kwenye kituo ambacho kinawasaidia wazee kufariki bila mateso , yaani kuwahudumia na kuwajali hadi kipindi ambacho muda wao wa kufa unapofika.
Mwanasayansi huyu, amebainisha kuwa anaelekea kwenye clinic moja nchini Uswis kwa ajili ya huduma hiyo.
Wagonjwa watano wawekewa vifaa vya kustua moyo ili kuzuia vifo vya ghafla TZ