May 22 2015 kulikuwa na Headlines kubwa kuhusu ishu ya makada sita wa CCM kufunguliwa na Chama hicho baada ya kufungiwa kwa zaidi ya mwaka mmoja kutokana na ishu ya kuanza kampeni za Urais mapema.
Leo kuna stori mpya kwenye siasa TZ.. Mwigulu Nchemba ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara katangaza kujivua cheo hicho na kuanza rasmi mchakato wa kugombea nafasi ya kuteuliwa kugombea Urais TZ kwa tiketi ya CCM.
Ni kweli nimepisha Mchakato Upite pic.twitter.com/PDqzKkVdy2
— Mwigulu Nchemba (@mwigulunchemba1) May 24, 2015
Mchakato huru kwa wote kueleka October 2015.
— Mwigulu Nchemba (@mwigulunchemba1) May 24, 2015