Inadaiwa kuwa moja ya njia bora na salama kwa usafiri ni kutumia njia ya anga ambao uhusisha usafiri wa ndege, lakini licha ya kutajwa kuwa ni usafiri salama bado tumekuwa tukizipokea headlines mbalimbali duniani zikihusisha ajali za ndege ambazo hupelekea pia hata watu kufariki.
Leo millardayo.com imempata mtaalamu wa mambo ya anga Tanzania Steven Tungaraza ambaye ametupa time yake na kutosogezea mambo makubwa ambayo huwenda hukuwa ukiyafahamu kuhusiana na nini sababu za ndege kuanguka hata wakati mwingine kulipuka.
Unaweza kumsikiliza kwenye hii sauti hapa chini…
ULIIKOSA KAULI YA TUNDU LISSU BAADA YA KUTOKA MAHAKAMANI