Spika wa Bunge Job Ndugai amezungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake Dodoma leo April 4, 2019 ili kutolea ufafanuzi wa baadhi ya taarifa ambazo zinaenezwa na baadhi ya watu kwamba Ofisi yake imekataa kufanya kazi na ofisi ya Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) pamoja na hilo amezungumzia taarifa zinazoenea kwamba amepiga marufuku kwa Waandishi wa habari kuzungumza na Wabunge wa upinzani bungeni.
AGIZO LA SPIKA NDUGAI KWA LEMA “OLE WAKE”