May 9 2016 ndio siku rasmi ambayo Jiji la Dar es salaam limeingia kwenye Historia ya Huduma ya Usafiri wa Mabasi yaendayo Haraka, Tamko lilitoka kuwa hairuhusiwi usafiri binafsi kupita kwenye barabara za Mabasi hayo, May 11 2016 Ayo TV imelinasa ili tukio la mwendesha bodaboda aliyepita kwenye barabara hizo.
ULIPITWA? TAZAMA NAULI ZA MABASI MAPYA YA HARAKA DAR ES SALAAM ZILIVYOTAJWA…
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE