Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE CUF, Msajili vitani, upande wa Maalim Seif waahidi kumpeleka mahakamani, Mutungi asema huko ndiko haswa mahali pake pic.twitter.com/4CzGKIMcz6
— millardayo (@millardayo) October 4, 2016
#MWANANCHI Damu ya mgonjwa wa UKIMWI Uingereza yapimwa na kukutwa haina VVU lakini wanasayansi wamesema ni mapema sana kuthibitisha pic.twitter.com/l7A0aghfvL
— millardayo (@millardayo) October 4, 2016
#HabariLEO Fedha zilizoswekwa ndani ya mifuko ya plastiki na kufukiwa mchangani zachimbuliwa na matrekta ya kuchimbulia barabara Arusha pic.twitter.com/Fuz2WrgPno
— millardayo (@millardayo) October 4, 2016
#MWANANCHI TFDA imesema haitakubali nyumba wanazoishi watu zitumike kama viwanda vya kusindika bidhaa za kuuza kwenye maduka pic.twitter.com/W3p0GaMtQJ
— millardayo (@millardayo) October 4, 2016
#MWANANCHI Mmoja wa watafiti waliouawa Dodoma ni mjane ambaye aliomba safari hiyo ili apate ada ya mtoto wake anayetarajia kujiunga chuo pic.twitter.com/S5tNtqKrBC
— millardayo (@millardayo) October 4, 2016
#MWANANCHI Imeelezwa kuwa watoto 1,600 wanatibiwa ugonjwa wa kisukari ktk kliniki mbalimbali nchini, ikiwa ni ongezeko kubwa kuwahi kutokea pic.twitter.com/hMRx3yl41U
— millardayo (@millardayo) October 4, 2016
#MTANZANIA Katibu mkuu wa Ikulu, Peter Ilomo amesema kaya 32,461 ambazo hazina vigezo zimenufaika na mradi wa TASAF pic.twitter.com/IUGVPmkoKU
— millardayo (@millardayo) October 4, 2016
#MWANANCHI Mikopo ya nyumba yenye thamani ya bil 374.5 imetolewa kwa wananchi na benki mbalimbali nchini kati ya mwaka 2010 na 2015 pic.twitter.com/89ootjkTgF
— millardayo (@millardayo) October 4, 2016
#MWANANCHI Usafirishaji mahindi kwa njia za magendo kwenda Kenya waibuka K'njaro, yadaiwa malori kati ya 10 hadi 30 huvuka mpaka kila siku pic.twitter.com/MZUYlsNdv3
— millardayo (@millardayo) October 4, 2016
#MWANANCHI Mwalimu wa shule ya msingi Kipilimuka Nzega Tabora alala chumbani, ajikuta katikati ya uwanja wa mpira asubuhi pic.twitter.com/3itWRxcElk
— millardayo (@millardayo) October 4, 2016
ULIMISS UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO OCTOBER 4, 2016? NIMEKUWEKEA HAPA