Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti January 15, 2016, unazisoma zote kwa pamoja.
Waziri wa Elimu, Prof. NDALICHAKO amesema atainyima usingizi NECTA ili kuboresha elimu #MagazetiJAN15 #MTANZANIA >>https://t.co/0lkSgtgQ3r
— millard ayo (@millardayo) January 15, 2016
Waziri Prof. MUHONGO aitaka TANESCo ijiendeshe kibiashara kwa kuuza umeme bei ambayo haitawaumiza wananchi #MagazetiJAN15 #MKAKATI
— millard ayo (@millardayo) January 15, 2016
Simba inatakiwa kumlipa aliyekuwa kocha wao Dylan Kerr milioni 21.3 kutokana na uamuzi wa klabu hiyo kuamua kuvunja nae mkataba #NIPASHE JAN
— millard ayo (@millardayo) January 15, 2016
Jeshi la Polisi limetaja njia tano za watu kuzitumia ili kujihami na wizi wa Benki #MagazetiJAN15 #MTANZANIA >>https://t.co/0lkSgtgQ3r
— millard ayo (@millardayo) January 15, 2016
Mabasi ya mwendokasi yaliyoingia nchini yamebainika kuwa na kasoro lukuki, yadaiwa kutolipiwa kodi #NIPASHE #JAN15 https://t.co/0lkSgtgQ3r
— millard ayo (@millardayo) January 15, 2016
Waziri Prof.Mbarawa amesema ni muhimu taasisi zote za Serikali kuwa na mfumo wa kielektroniki wa mahudhurio ya watumishi kazini #NIPASHE JAN
— millard ayo (@millardayo) January 15, 2016
Waziri Mkuu mstaafu Mzee Edward LOWASSA amesema hajakata tamaa,ana nguvu za kugombea Urais 2020 #Magazeti #MWANANCHI>https://t.co/0lkSgtgQ3r
— millard ayo (@millardayo) January 15, 2016
Naibu Waziri Edwin NGONYANI aagiza TCRA kuchunguza tuhuma juu ya matumizi mabaya ya mitandao #MagazetiJAN15 #RaiaTZ >https://t.co/0lkSgtgQ3r
— millard ayo (@millardayo) January 15, 2016
Siri mradi wa mabasi ya mwendokasi sasa hadharani, Waziri Mkuu MAJALIWA asema nauli ni 700 #MagazetiJAN15#RaiaTZ>>https://t.co/0lkSgtgQ3r
— millard ayo (@millardayo) January 15, 2016
TZ inatarajiwa kukumbwa na uhaba wa sukari 2016 baada ya uzalishaji wake kuporomoka kwa kasi #MagazetiJAN15#HOJA >>https://t.co/0lkSgtgQ3r
— millard ayo (@millardayo) January 15, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.