Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti November 18, 2015, unazisoma zote kwa pamoja.
Rais JPM apeleka jina la Waziri Mkuu Bungeni, atumia usafiri wa barabara hadi Dodoma,Job NDUGAI Spika wa Bunge la 11 #GazetiMTANZANIA #NOV18
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Mahakama ya Ilala imemhukumu mtu mmoja jela miaka 7,faini Mil.20 kwa kosa la kukutwa na shanga zilizotengenezwa kwa meno ya tembo #MTANZANIA — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Hali za wachimbaji wadogo waliofukiwa na kifusi cha udongo kwa siku 41 Kahama zimeanza kuimarika #MTANZANIA #NOV18>> https://t.co/pMiNW65k8n
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Serikali imetangaza kuanza leo zoezi la ‘bomoa bomoa’ ya nyumba, vibanda na kuwaondoa watu waliovamia maeneo ya wazi Dar #MTANZANIA #NOV18 — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Watoto wanne wafariki ktk bwawa la maji ya kunyweshea mifugo Tanga, walikuwa wakichunga mbuzi #MTANZANIA#NOV18 >> https://t.co/pMiNW65k8n
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Watu watano wamefikishwa mahakamani na kusomewa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa M’kiti wa CHADEMA huko Geita, Alphonce Mawazo #MWANANCHI NOV18
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Mahakama ya hakimu mkazi Morogoro leo itatoa hukumu ya kesi ya jinai inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Kiislamu Tz Sheikh Ponda #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Siku moja baada ya Manispaa ya Temeke kuvunja nyumba 350, bomoa bomoa inahamia Manispaa ya K’ndoni, maghorofa na Hoteli zinavunjwa #JamboLEO — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
UKAWA wamefungua kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa wabunge katika majimbo sita ya Mbeya na Tabora #MWANANCHI #NOV18
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Mmoja wa watu waliofunikwa na kifusi chini ya ardhi kwa siku 41, juzi jioni alizinduka na kumuulizia LOWASSA kama ameshinda #MWANANCHI NOV18 — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wavamia kituo cha kuuza mafuta Igunga Mkoa wa Tabora, na kupora zaidi ya Tshs. Mil. 5 #JamboLEO #NOV18
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Jeshi la Polisi ktk uwanja wa ndege JNIA limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kutaka kusafirisha kobe hai 201 kwenda Malaysia #MWANANCHI — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Raia wawili wa Afrika Kusini wamefikishwa Mahakama ya Kisutu Dar kwa tuhuma za kukutwa na meno ya mamba na kiboko #JamboLEO #NOVEMBER18
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Baada ya jana wabunge kumchagua Job Ndugai kuwa spika wa Bunge, anayesubiriwa ni waziri mkuu ambaye atajulikana ndani ya saa 36 #MWANANCHI — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Mvutano umeendelea kati ya Manispaa na wananchi waliobomolewa nyumba Kurasini, walala nje na kukosa mahali pa kuishi #JamboLEO #NOVEMBER18
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Majambazi yapora kituo cha mafuta Tabora na kuiba milioni 5, mmoja wa wafanyakazi alifanikiwa kuokoa milioni 16 #MWANANCHI #NOV18 — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Majambazi yapora kituo cha mafuta Tabora na kuiba milioni 5, mmoja wa wafanyakazi alifanikiwa kuokoa milioni 16 #MWANANCHI #NOV18
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Wagonjwa wanaohitaji huduma ya MRI waendelea kutaabika Hospitali ya Muhimbili,mashine yaharibika siku chache baada ya kutengenezwa #JamboLEO — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Watahiniwa Mil.1 wanatarajiwa kuanza mitihani ya kujipima ya darasa la nne Novemba 25 mwaka 2015 #JamboLEO #NOV18>> https://t.co/pMiNW65k8n
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Ndugu watatu wa familia moja wanashikiliwa na Polisi kwa kumuua bibi wa miaka 70 kisha kumfukia kwenye shimo la choo Njombe #MWANANCHI NOV18 — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Bunge la 11 limeanza vikao jana kwa ‘figisu figisu’ zinazoonesha vikao vijavyo vitatawaliwa mvutano mkali #TzDAIMA>https://t.co/pMiNW65k8n
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Serikali imetakiwa kuandaa sera ili kuondoa tofauti ya mgawanyo wa rasilimali baina ya maskini na matajiri ili wanufaike #MWANANCHI #NOV18 — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Mtoto wa miaka 10 amelazwa hospitali ya Tunduma kwa kuchomwa moto mwilini na binamu yake baada ya kumwibia ubuyu wa sh.50 #MWANANCHI #NOV18
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Mmoja wa waliookolewa baada ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo Kahama amehoji kuhusu matokeo ya Urais TZ Uchaguzi wa Oktoba #TzDAIMA — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Binti wa miaka18 Kagera amejifungua watoto mapacha walioungana makalio na kitovu,wanajisaidia haja kubwa na ndogo kwa mfumo mmoja #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Tiketi za kielektroniki bado zinalitesa Shirikisho la soka TFF, latangaza tenda ya kumsaka mshauri wa mfumo huo wa tiketi #MTANZANIA #NOV18 — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Wafanyabiashara wa soko Kahama wagoma kulipa ushuru, wadai licha ya kulipa bado uchafu unazagaa na kutishia usalama wa afya zao #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Aliyekuwa waziri mkuu wa Uganda MBABAZI amemtaka Rais Museveni kuacha tabia ya kung’ang’ania madaraka na awaachie wenzake #MWANANCHI #NOV18 — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Hali si shwari Burundi baada ya kutokea mauaji ya watu 8 mfululizo yanayoelekezwa kwa raia kwa madai ya kukusanya silaha #MWANANCHI #NOV18
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Watu zaidi ya 15 wamepoteza maisha Somalia baada ya kuuawa wakati wakiwa kwenye foleni ya kuchukua chakula cha msaada #MWANANCHI #NOV18 — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Mbwana Samatta amesema umaarufu wake unaitangaza Tanzania na timu yake kimataifa, hiyo ni sifa kwa nchi yake na watu wake #MWANANCHI #NOV18
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Kukosekana kwa wachezaji wa Simba katika kikosi cha timu ya Taifa kunaelezwa kuwa ni matokeo ya kutokuwa na ushindani wa namba #MWANANCHI — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
UKAWA wamesema watakuja na staili mpya ya kumpokea Rais Dk.John Magufuli atakapokwenda kuzindua na kuhutubia Bunge Nov.20 #NIPASHE #NOV18
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Kuzaa katika umri mdogo na kuzaa mfululizo ni moja ya sababu inayochangia watoto kuzaliwa kabla ya wakati #NIPASHE #NOV18 — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Jumla ya milioni 13 zilitumika katika kazi ya kuwaopoa wachimbaji wadogo wa madini waliofukiwa na kifusi kwa siku 41 Kahama #NIPASHE #NOV18
— millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Jeshi la Polisi Mwanza limewaondoa askari wake 78 wa kikosi cha usalama barabarani kwa tuhuma za makosa ya utovu wa nidhamu #NIPASHE #NOV18 — millard ayo (@millardayo) November 18, 2015
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.