Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipata huko.
#MWANANCHI Utata wa kisheria umemkwamisha mbunge wa Bunda mjini, Ester Bulaya kutoa ushahidi ktk kesi ya kutetea ubunge wake inayoendelea pic.twitter.com/UtBeG5Tw2M
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#MWANANCHI Madaktari MOI kwa mara ya kwanza wamfanyia upasuaji wa kunyoosha mfupa wa mgongo mtoto Vivian '13' uliokuwa umepinda 'kibiongo' pic.twitter.com/QkHau0tnbr
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#MWANANCHI Hatua ya JPM kuzuia viongozi waandamizi wa mikoa na wilaya kuhudhuria kilele cha mbio za mwenge mkoani Simiyu, imeokoa bil 1.2 pic.twitter.com/0HClnaVO2t
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#MWANANCHI Wasichana wa kitanzania wazungumza na Michelle Obama kwa Skype, wazungumzia adha ya umbali wa kufuata shule na mimba za utotoni pic.twitter.com/O4PQUsWxhq
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#MTANZANIA Aliyekuwa Meya wa jiji la DSM, Dk. Didas Masaburi amefariki Dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu pic.twitter.com/dxg3telDmB
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#MTANZANIA Rais Magufuli amemteua Prof. Tibaijuka kumwakilisha ktk mkutano wa makazi wa Habitat III unaofanyika ktk mji wa Quito, Ecuador pic.twitter.com/EKS3qFELad
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#NIPASHE Uamuzi wa JPM kuzuia viongozi wote wa Serikali kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za mwenge Simiyu umeokoa takribani bil 6 pic.twitter.com/NlHNVnfhL3
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#NIPASHE ATCL yatangaza nauli za ndege mpya, njia za Mwanza-DSM yapangiwa nauli nafuu, lengo kushinda ushindani uliopo na mashirika mengine pic.twitter.com/saOll3OXbY
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#NIPASHE Uhaba wa wataalamu wa afya nchin wachangia hospitali ya chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi Mloganzila kuchelewa kutoa huduma pic.twitter.com/F72COn1geb
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#NIPASHE Serikali inakadiria kutumia zaidi ya trilioni nane kwa ajili ya kusambaza huduma za umeme maeneo yote nchini ifikapo 2021 pic.twitter.com/lUXrwrEF8O
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#NIPASHE Makondakta wa daladala DSM wapewa wiki mbili kuhakikisha wanavaa sare zilizo na staha na kuacha 'milegezo' vinginevyo kukamatwa pic.twitter.com/BO78C7kVHo
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#NIPASHE Uhaba wa wataalamu wa afya nchin wachangia hospitali ya chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi Mloganzila kuchelewa kutoa huduma pic.twitter.com/wei2BoPKTi
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#NIPASHE Polisi Mwanga, K'njaro wanusurika kuuawa kwa mishale na watu wanaodaiwa kufanya biashara ya kusafirisha binadamu, bidhaa za magendo pic.twitter.com/7z4tc4qRme
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#NIPASHE WHO imesema kutoza kodi na kupandisha bei vinywaji vitamu ni suluhu pekee inayolenga kuboresha maisha ya mamilioni ya watu duniani pic.twitter.com/23bv1xSdaD
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#NIPASHE Serikali Kahama Shinyanga imebaini mtandao wa watu 17 wanaotekeleza mauaji ya vikongwe kwa imani za kishirikina pic.twitter.com/HAejSYdDjv
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#UHURU SUMATRA imesema abiria wanaotumia daladala DSM wataanza kulipa nauli kwa mfumo wa kielektroniki ifikapo January mosi mwakani pic.twitter.com/cVza8H4DcT
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#UHURU Watumishi 928 wa awali wanahitajika hospitali ya kisasa ya taaluma na tiba ya Mloganzila kwa ajili ya kutoa huduma hospitalini hapo pic.twitter.com/adJPHlAWYW
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#HabariLEO Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mji wa Dodoma ni lazima upangwe ili uwe tofauti na miji mingine nchini pic.twitter.com/f2lpkrRvtd
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
#TanzaniaDAIMA 90% ya watoto ambao mama zao walikosa chanjo wakati wa ujauzito wanaweza kupoteza maisha kwa tetenasi pic.twitter.com/iKPBQkz8DD
— millardayo (@millardayo) October 13, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV OCTOBER 13 2016 ? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI