Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya, Michael Mteite amekataa kujitoa kusikiliza kesi inayomkabili mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na mwenzake.
Baada ya hakimu kukataa kujitoa, mawakili Boniface Mwabukusi, Hekima Mwasipu na Sabina Yongo wanaowawakilisha washtakiwa walitangaza kujitoa katika shauri hilo.
AyoTV na millardayo.com imezungumza na moja ya Wakili anayemtetea Sugu, Hekima Mwasipu ambaye ameeleza sababu za wao kujitoa katika kesi hiyo.
WAZIRI MWIGULU ASIMAMISHA ZOEZI LA UTOAJI WA HATI ZA KUSAFIRIA (PASSPORT)