Wakati bunge likiendelea kuijadili bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017 nakukutanisha leo na mbunge wa sengerema William Ngeleja alipopata nafasi ya kusimama kutusogezea takwimu ya watanzania masikini na hili la serikali kuwapandishia kodi bodaboda.
‘Asilimia 50 ya watanzania ni masikini, na katika hao milioni 12 ni masikini zaidi. Unapozungumzia waendesha bodaboda na wamiliki ndio kati ya kundi hilo, sasa leo tunapandisha ada ya usajili kutoka elfu 45 mpaka 95. Hawa ni wapiga kura wetu‘ –William Ngeleja
ULIIKOSA HII? MBUNGE CATHERINE MAGIGE AMEHOJI TATIZO LA VIJANA KUSHINIKIZWA KUANDAMANA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE