Ofisi ya Rais TAMISEMI bado ipo katika kuhakikisha Mradi wa ULGSP unaboresha miundo mbinu katika maeneo mbalimbali Tanzania leo wakazi wa Mpanda wameiambia AyoTV kuwa kupitia mradi huu wa ULGSP ambao unasimamwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI wao wenyewe hawaamini mabadiliko yanayotokea Mpanda.
Rais Magufuli “Kafanye kazi msibishane TAKUKURU na DPP, wapelekeni wala rushwa direct’