Taasis ya wahandisi Tanzania kwa kushirikiana na Shirika na nyumba la Taifa leo walifamya mkutano kubwa likiwa kuzungumzia mazingira endelevu na ujenzi wa nyumba za bei rahisi.
Kikubwa kilichozungumziwa ni pamoja na kuitaka Serikali kuondoa kodi kwa wananchi wa ngazi za chini katika manunuzi ya vifaa vya ujenzi ili waweze kumudu kununua nyumba za bei rahisi.
“Juhudi zinafanyika kwa NHC ili wananchi wa kawaida wamudu kununua, bei ya chini kabisa ni milioni 27, lengo ni kuhakikisha kila Mtanzania anaishi katika nyumba ya bei rahisi, Serikali iangalie mfumo wa kodi, riba na ustahimilivu wa thamani ya fedha, wananchi wapunguziwe kodi na riba waweze kununua hizo nyumba”…Nehemia Mchechu ambaye ni Mkurugenzi wa NHC.
Mchechu aliongeza kuwa..“Tuko chini kwa kiasi cha asilimia 30 tofauti na nyumba zinazojengwa na wananchi wa kawaida jamboa mbalo litakuwa na manufaa kwao na kizazi kijacho”…
Hapa nina sauti ya Mkurugenzi mkuu wa NHC akizunfumzia kauli yao kwa Serikali juu ya kupunguza kodi kwa wananchi…
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTERFB YOUTUB