Leo July 2, 2018 Mchungaji mmoja aliyefahamika kwa jina la Tito Wats, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwauzia watu tiketi alizodai ni za kuingilia Mbinguni
Anasema alitokewa na Yesu, akampa tiketi ili awagawie watu wenye dhambi ili siku ikifika waingilie kwenye mageti ya mbinguni.
Bei ya tiketi moja ni USD 500 zaidi ya Milioni moja ya Kitanzania.
Alipokamatwa amesema hajali, maana anajua anateswa kwa sababu ya kufanya kazi ya Mungu.
Watu wengi wanaandamana kupinga kukamatwa kwa mchungaji wao, kwa sababu hizo pesa wanazotoa ni zao, na kwa hiyari yao kwa ajili ya uzima wao.
BREAKING: Rais Magufuli amefanya mabadiliko Baraza la Mawaziri, teuzi nyingine