“Hatuna sababu na hatuwezi kuwa na sababu ya kususia uchaguzi huu kwa sababu tutakuwa tumeyasusia maisha yetu” Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbunge Freeman Mbowe akizungumzia zoezi la kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.