Leo Novemba 4 2018 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amehudhuria ibada katika Kanisa la EFATHA, ambapo amesema Mungu akiiangalia Tanzania anamuona Rais John Magufuli na akiiangalia Mikoa anawaona Wakuu wa Mikoa ukiwepo Mkoa wa DSM anamuona Makonda anaona madanguro yanaongezeka, anaona mashoga.
Watu wanaomba muda wa kufanya uzinzi uongezeke kuliko kufanya ibada, anaomba toba ifanyike katika mkoa wa Dar es salaam.
. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama LIVE.