Ni msimu wa sikukuu ya sherehe za mwisho wa mwaka, Christmas na mwaka mpya 2015, kama kuna salamu umezipata kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki… sasahivi ni time ya kukufikishia hizi kutoka kwa watengenezaji wa NIDO.
Kampuni ya Nestle ambao ndio watengenezaji wa bidhaa ya maziwa ya unga ya NIDO, hivi karibuni imethibitisha kwamba kama umegundua mabadiliko yoyote kwenye upande wa wapi yanatengenezwa, basi isikupe hofu kwa sababu ni kweli chanzo cha maziwa hayo kwa sasa ni kutoka South Africa lakini bado ni yaleyale na yenye ubora uleule.
NIDO inaweza kuwa moja ya zawadi nzuri kumpelekea mtu wako au kushare na ndugu pamoja na familia msimu huu wa sikukuu…
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE