Ni muendelezo wa habari inayomhusu Hajath Zahra Mtanzania aliyewahi kutusimulia stori ya maisha yake kuanzia kuzaliwa mkoani kagera kisha kufungua ama kumiliki kampuni nchini Uingereza.
Sasa time hii amerudi tena na hapa anafunguka sababu za kufuturisha watu zaidi ya 300 kila siku huko mkoani Kagera.