Kijana wa kazi William Mhelwa anayeishi Moshono Mkoani Arusha amedai kumwagiwa uji kichwani na kupigwa na Boss wake baada ya kumtuhumu kumuibia kiasi cha Shilingi Million saba ambazo zilikuwa zimehifadhiwa ndani.
Kijana huyo amedai kwamba amekuwa akiishi na Mama huyo kwa miaka minne hadi hivi sasa lakini hakuwahi kulipwa mshahara bali alikuwa anapewa mahitaji mbalimbali pale anapohitaji.
HUYU NDIE MAMA ALIETEMEWA MATE YENYE CORONA, AMEFARIKI MWENZIE ANAUMWA