Leo April 9, 2019 Kutana na kijana Gabriel Jeremiah ambaye ni mwanafunzi katika Chuo cha Usafirishaji cha NIT ambaye ameweza kutengeneza gari inayotumia mfumo wa umeme kujiendesha.
Gabriel anatuambia “hii gari hapo mbele haina injini, inatmia umeme wa betri, kwenye magurudumu ya nyuma kuna mota, ina speed 80km kwa saa na ina uwezo wa kutembea KM 90”
UTACHEKA NA MAPYA RC MWANRI “YEP YEP YEEEP GEUKA, MNYAKUO, NITAWAKUMBA”