June 20 2016 headline imeandikwa bungeni kwa baadhi ya wabunge wa upinzani kuamua kutoka nje ya bunge kwa style ya kuziba midomo. Hii ni kuonyesha mwendelezo wa kutokuwa na imani na naibu spika Dk. Tulia Ackson
Nje ya bunge mbunge wa Vunjo James Mbatia amesema..>>’Ni kwamba serikali inaipasua nchi, hatukushiriki bajeti yao na tutawashitaki kwa watanzania , na kuhusu mikutano tutaifanya bila wasiwasi‘
ULIIKOSA HII? MAMBO SITA YA WAPINZANI BUNGENI KUMUONDOA MADARAKANI NAIBU SPIKA DK. TULIA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE