Kutokana na kujitokeza mara kwa mara matukio ya ajali za moto katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye nyumba za kuishi, Msanifu wa majengo kutoka wakala wa majengo Tanzania (TBA) Anastazia Daniel anatueleza mbinu kuu nne ambazo unaweza kuzitumia wakati wa ujenzi wa nyumba yako ili kujikinga na maafa hayo.
RPC Arusha afanya ukaguzi “Gari ya taka haitakiwi kuwa takataka