Mbunge wa Mtama Lindi Nape Nnauye amerudi jimboni kwake na kuzungumza na Wananchi kwa mara ya kwanza toka aondolewe kwenye baraza la Mawaziri alikokua akitumikia nafasi ya Waziri wa habari, sanaa, Utamaduni na michezo.
Hizi ni picha tu kwa sasa lakini video ya tukio lote naifanyia kazi na utaipata kwenye Youtube ya ‘millardayo‘ muda sio mrefu, pia hakikisha ume-install APP ya ‘millardayo‘ kwenye ANDROID na IOS.
FULL VIDEO: Nape Nnauye alivyozuiwa na Polisi ‘alietoa Bastola aje hapa’ PLAY HAPA CHINI KUITAZAMA FULL VIDEO