Leo June 5 2018 Waziri wa Kazi na Uchukuzi wa Uganda Eng. Monica Azuba Ntege ametembelea bandari ya DSM ikiwa ni mara yake ya kwanza na kutoa pongezi kwa kazi zinazofanywa na bandari.
Akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Bandari na wanahabari Eng.Ntebe amesema lengo la ziara hiyo ni kushughulikia mizigo/shehena ya Uganda ipite kwa wingi zaidi kwenye Bandari ya DSM kwani bandari hiyo ni muhimu sana katika nchi ya Uganda na wameamua kusafirisha mizigo yao kupitia Tanzania.
Waziri Mwigulu awapa wiki 2 Bohari Kuu ya Polisi kutimiza agizo hili