Mwanachama wa CHADEMA Mdude Nyagali amesimulia tukio la kutekwa kwa siku tatu kabla ya kujipata porini katika eneo la Mbeya.
Akizungumza na AyoTV akiwa kitandani hospitalini ambapo amelazwa, Mdude amesumilia kwamba watu waliomteka waliwasili na gari moja siku ya Jumamosi jioni nje ya makaazi yake.
MDUDE NYAGALI AZUNGUMZA AKIWA HOSPITALINI “NAPAMBANA KUTETEA ROHO YANGU”