Mei 2, 2019 Wabunge walikuwa wakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2019/20 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wake Prof. Makame Mbarawa zaidi ya Bilion 634 ambapo miongoni mwa waliopata nafasi ni pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye ambaye ameishauri Serikali kufanyia mabadiliko baadhi ya sheria ili kusaidia uboreshaji.
RAIS MAGUFULI AKIWA MBEYA AMLILIA DR.REGINALD MENGI “NIMESIKITISHWA SANA”